Pale vilima saba vinakutana na taaluma.
Karibu Kampala — Lulu ya Afrika. Kila unachohitaji kupanga ziara nzuri ya kukumbukwa katika Chuo Kikuu cha Makerere.
Chuo Kikuu cha Makerere
Kilianzishwa mwaka 1922, Makerere ni chuo kikuu cha zamani zaidi Afrika Mashariki na mojawapo ya vinavyoheshimika zaidi barani. Mnara wake maarufu wa pembe unasimama katikati ya Kampala — jiji la vilima saba, bustani za kijani na utamaduni mzuri.
Hoteli na Malazi
Ili kulifurahia kongamano, utahitaji mahali pazuri pa malazi. Kamati-andalizi imewaandalia malazi karibu na Chuo Kikuu cha Kibabii. Japo chaguo ni lako, hakikisha unahifadhi malazi mapema ili upate mahala ambapo utapafurahia zaidi.
Malazi Pendekezwa
Haya ni malazi ya viwango mbalimbali yapatikanayo karibu zaidi na chuo. Kamati-Andalizi imefanya mazungumzo na idara ya malazi chuoni na kupewa bei za punguzo kwa wakongamanaji. Jihifadhie malazi mapema ili kukwepa usumbufu unaoweza kujitokeza.
Kampala kwa picha








