Malipo yote katika awamu ya majaribio. Tumia kadi 4242 4242 4242 4242 kupima.
Usajili
Hifadhi nafasi yako Kampala.
Wanachama wanapata viwango vya punguzo. Punguzo la mapema linatumika hadi tarehe 31 Oktoba 2026.
Uanachama
Kuwa Mwanachama wa CHAUKIDU
Jiunge nasi leo upate punguzo la ada ya usajili wa Kongamano na faida nyingine.
Punguzo la
Mapema
Kamilisha kabla ya 1 Nov 2026
Lipia uanachama upate punguzo la ada ya usajili
Kamilisha malipo ya uanachama kabla ya tarehe 1 Novemba 2026 ili kunufaika na punguzo maalum kwenye ada ya Kongamano.
Viwango
Ada ya Usajili
Linganisha viwango vya wanachama na wasio wanachama.
Kawaida
Viwango vya Wasio Wanachama
- Nje ya Afrika (Kawaida)$195
- Afrika (Kawaida)$100
- Afrika Mashariki (Kawaida)$90
- Nje ya Afrika Mashariki (Wanafunzi)$80
- Afrika Mashariki (Wanafunzi)$50
Thamani Bora
Viwango vya Wanachama
- Nje ya Afrika (Kawaida)$155
- Afrika (Kawaida)$70
- Afrika Mashariki (Kawaida)$60
- Nje ya Afrika Mashariki (Wanafunzi)$60
- Afrika Mashariki (Wanafunzi)$30
Malipo
Lipia Kwa Kadi
Kamilisha malipo yako kwa usalama kupitia Stripe.
Tafadhali ingia kabla ya kulipia ada ya Kongamano. Ukiwa mwanachama hai, utapata punguzo otomatiki.
Ingia / Jisajili
Kuwa mwanachama upate punguzo la ada ya kongamano na manufaa zaidi
Jiunge nasi leo upate punguzo la ada ya usajili wa Kongamano na faida nyingine za kipekee.
Jiunge SasaNjia Mbadala
Njia mbadala za Malipo
Chagua njia ya malipo inayokufaa.

Njia Mbadala za Malipo
LIPA ADA UWE MWANACHAMA HAI
Ungana na Washiriki Wengine Kutoka Duniani Kote
| Maeneo | Mwanafunzi | Si Mwanafunzi | Lipa kwenye Benki, Tovuti au Wasiliana na |
|---|---|---|---|
| Burundi | BIF 9,500 | BIF 38,000 | CRDB BANK: 0133 759 755 400 Mwl. Gordien Ndayikengurukiye |
| Kenya | KES 550 | KES 2,150 | KCB: 1279236426 Pay Bill 522522 Prof. Iribe Mwangi Dkt. Sarah Ngesu |
| Rwanda | RWF 4,700 | RWF 19,000 | KCB: 1279236426 Prof. Pacifique Malonga |
| Tanzania | TZS 12,000 | TZS 45,000 | CRDB BANK: 0133 759 755 400 Dkt. Mussa Hans Dkt. Zainab Iddi |
| Uganda | UGX 19,000 | UGX 75,000 | KCB: 1279236426 Dkt. Aidah Mutenyo |
| Kwingine Afrika | USD 5 | USD 20 | Tovuti au Wasiliana na Mhazini wa CHAUKIDU |
| Ughaibuni | USD 15 | USD 30 | Tovuti au Wasiliana na Mhazini wa CHAUKIDU |
Benki
CRDB · KCB
mPesa
KCB-1279236426 Pay Bill 522522
Tovuti
chaukidu.org
WhatsApp
Mhazini wa CHAUKIDU
Faida
MANUFAA YA KUWA MWANACHAMA HAI WA CHAUKIDU
- Kupewa punguzo la ada ya ushiriki wa Makongamano ya CHAUKIDU
- Kupewa nafasi ya kwanza ya kuchapisha katika jarida la CHAUKIDU
- Ukiwa mwanafunzi, kupewa kiasi Fulani cha ufadhili wa kuhudhuria Makongamano
- Kupewa bure ruhusa ya kushiriki Warsha mbalimbali mtandaoni
- Kupata fursa ya kutangamana na Wapenzi, Watafiti na Wataalamu
- Makongamano huandaliwa katika nchi tofauti, utakuwa na fursa ya kitalii
- Kwa mwanafunzi, kuungana na walezi, wataalamu waliobobea katika taaluma mbalimbali za Kiswahili
BurundiKenyaRwandaTanzaniaUgandaKwingine AfrikaUghaibuni
Unaweza kutumia njia yoyote kati ya hizi kulipa ada ya uanachama na usajiliwa CHAUKIDU.