Malipo yote katika awamu ya majaribio. Tumia kadi 4242 4242 4242 4242 kupima.
Uanachama

Kuwa Mwanachama wa CHAUKIDU

Ungana na Waswahili wengine duniani. Lipia uanachama upate punguzo la ada ya Kongamano.

Inapakia...

Manufaa ya Uanachama

  • Punguzo la ada ya ushiriki wa Makongamano ya CHAUKIDU
  • Nafasi ya kwanza ya kuchapisha katika jarida la CHAUKIDU
  • Ufadhili wa kuhudhuria Makongamano (kwa wanafunzi)
  • Ushiriki bure katika Warsha za mtandaoni
  • Kutangamana na Watafiti na Wataalamu duniani kote