Kampeni ya Ahadi
Nitahudhuria CHAUKIDU 2026
Toa ahadi yako ya kuhudhuria Kongamano la 11 la Kimataifa la Kiswahili, uonekane kwenye ukuta wa waahidi, na kisha sambaza mwaliko kwa marafiki na wenzako — kila ahadi ni mwali unawasha mwingine.
Twen’zetu Makerere Bwana!
Kampeni ya Nitahudhuria
Nitahudhuria CHAUKIDU 2026!
Toa ahadi yako kwa umma — uonekane pamoja na wasemaji wa Kiswahili kutoka dunia nzima. Kila ahadi ni mwaliko kwa mwingine: Twen’zetu Makerere Bwana!
0
wameahidi kuhudhuria
Umeshatoa ahadi? Hatua inayofuata ni usajili rasmi:
Jisajili Sasa