Skip to content
CHAUKIDU Kibabii 2025
  • MASKANI
  • KUHUSU
  • TAARIFA
    • KIBABII
    • Hoteli na Malazi
  • RATIBA
  • WASEMAJI
  • PICHA
  • MAWASILIANO
Kiswahili na Lugha Nyingine za Kiafrika katika Zama za AI: Fursa na Changamoto
December 14, 2025 - December 16, 2025
9:00 am - 10:00 pm
Chuo Kikuu cha Kibabii, Bungoma, Kenya

Katika zama hizi za Akili Mnemba/Akili Unde (Artificial Intelligence – AI), ambapo teknolojia hii inaendelea kubadilisha kila nyanja ya maisha ya binadamu, uga wa lugha haujaachwa nyuma. CHAUKIDU inafikiri ni vyema kuwa na mjadala wa kina katika suala hili, na kongamano letu la Kimataifa ndilo litupalo uwanja mpana wa kufanya hivyo kwa mafanikio makubwa. Wanachama wa CHAUKIDU na wadau wote wa Kiswahili na teknolojia wanakaribishwa kutuma ikisiri za makala zinazochambua ama kujadili suala hili katika kongamano la 10 la Kimataifa la CHAUKIDU. Wanaweza kutuma ikisiri za makala kuhusu mada kuu ya Kongamano huku wakimakinikia mada ndogondogo zifuatazo:

Jisajili Sasa Jiunge na CHAUKIDU

Workshop (Warsha) Students

  • August 16, 2023
Awaiting product image

$10.00

Category: Ada ya Kongamano
  • Description

Description

Ikiwa wewe ni mwanafunzi na ungependa kushiriki katika warsha itakayofanyika tarehe 14 Disemba, tafadhali lipia ada hii.

Related products

  • Sale! Placeholder

    Ziara (Tour)

    $15.00 Original price was: $15.00.$10.00Current price is: $10.00.
    Add to cart
  • Sale! Placeholder

    Conference Regular Diaspora – Members

    $155.00 Original price was: $155.00.$150.00Current price is: $150.00.
    Add to cart
  • Placeholder

    Conference Regular East Africa – Members

    $55.00
    Add to cart
  • Placeholder

    Workshop (Warsha) Regular

    $15.00
    Add to cart
Recent Posts
  • Malazi Kibabii
  • Ikisiri Kibabii 2025
Meta
  • Register
  • Log in
  • Entries feed
  • Comments feed
  • WordPress.org
Recent News
  • Malazi Kibabii October 29, 2025
  • Ikisiri Kibabii 2025 October 29, 2025
  • Hoteli na Malazi August 15, 2023
Categories
  • Makongamano (1)
  • Taarifa za Jumla (5)
  • Uncategorized (1)
Jiorodheshe na Tufuate
Tusemacho Twitter
@Twitter Feed
Kipi cha kutarajia?

Jinsi Kiswahili kinavyoendelea kupata nguvu, ndivyo pia fursa ziambatanazo na lugha hiyo zinavyoongezeka. Ukiwa sehemu ya wadau wakuu wa lugha hii unapata fursa ya kuzitambua fursa hizo kwa urahisi zaidi.

Popular Posts
  • Taarifa za Jumla

    Hoteli na Malazi

    August 15, 2023
  • Uncategorized

    Malazi Kibabii

    October 29, 2025
  • Makongamano

    Ikisiri Kibabii 2025

    October 29, 2025
Archives
  • October 2025 (2)
  • August 2023 (1)
  • June 2023 (4)
Calendar
March 2026
M T W T F S S
 1
2345678
9101112131415
16171819202122
23242526272829
3031  
« Oct    
Recent Posts
  • Uncategorized

    Malazi Kibabii

    October 29, 2025
  • Makongamano

    Ikisiri Kibabii 2025

    October 29, 2025
  • Taarifa za Jumla

    Hoteli na Malazi

    August 15, 2023
Tufuate katika
@Twitter Feed

Kuhusu Kibabii 2025

CHAUKIDU imeshafanya makongamano mengi. Ila Kongamano hili la 2025 ni kongamano la kipekee. Kongamano hili ni la 10 na linafanyikia Magharibi mwa Kenya na karibu na mpaka wa Kenya na Uganda. Kusudi kuu la CHAUKIDU kuleta Kongamano hili Kibabii ni kuitangazia dunia umuhimu wa Kiswahili kupitia jamii za Magharibi mwa Kenya.

Kwanini Ushiriki?

Kuna faida nyingi sana za kushiriki makongamano ya CHAUKIDU, hasa hili la Arusha. Unapata fursa ya kutangamana na wadau wengi wa Kiswahili toka nchi mbalimbali. Kwa kongamano hili la kitaaluma, mwanataaluma yeyote anaweza kufaidi mengi. Kwa wale wasio wanataaluma au walioko katika taaluma tofauti na Kiswahili, bado watakutana na wadau wa taaluma za.

Taarifa Muhimu

  • Malazi Kibabii October 29, 2025
  • Ikisiri Kibabii 2025 October 29, 2025
  • Hoteli na Malazi August 15, 2023
© CHAUKIDU 2025