Jisajili

Usajili wa Kongamano

Jisajili sasa kwa kulipia ada ya kongamano. Kuna vitu viwili vitakavyokusaidia kupata puguzo:

Ukiwa mwanachama wa CHAUKIDU utapata punguzo la ada ya makongamano na faida nyengine tele.

Wanaolipa ada mapema, kabla ya tarehe 2 Novemba, wanapata punguzo lingine la ziada.

Ada ya Kongamano - Wanafunzi Wanachama
Ada ya Kongamano - Wanafunzi Wasio Wanachama
Ada ya Kongamano - Kawaida Wasio Wanachama
Ada ya Kongamano - Kawaida Wanachama