Price range: $10.00 through $65.00
Hii ni sehemu ya kufanyia usajili wa kongamano kwa wanafunzi wasio wanachama. Unaweza kulipa ada ya kongamano tu au kulipa kongamano pamoja na malipo mengine kama warsha, na ziara. Katika chaguzi zilizoko hapo chini, tafadhali chagua yote unayotaka kulipia sasa. Ikiwa ungependa kulipia ada ya kongamano kama mwanachama ili upate punguzo na kupata faida nyengine za uanachama, basi nenda ulipie kama mwanachama na uhakikishe kuwa unajumuisha ada ya uanachama katika malipo yako.
Description