Hoteli na Malazi

Kamati ya maandalizi ingependa kutoa taarifa kuwa kila mkongamanaji atawajibika kujihifadhia malazi kwa siku atakazoshiriki katika kongamano. Kamati inapendekeza hoteli zifuatazo:

Malazi Ndani ya MS-TCDC

Na.Aina ya MalaziGharama kwa Usiku MmojaIdadi ya Watu
1Chumba cha Kawaida (Standard) (B&B)$431
2Chumba cha Kawaida (Standard) (B&B)$502
3Nyumba (Suite with 1 bedroom) (B&B)$631
4Nyumba (Suite with 2 bedrooms) (B&B)$662
5Nyumba (Suite with 3 bedrooms) (B&B)$993
6Bweni (Bila chai)$9012
Unaweza kupata taarifa zaidi kuhusu malazi haya katika tovuti hii: https://mstcdc.or.tz/facilities/accommodation. Kwa mawasiliano kuhusu haya malazi, tafadhali piga simu: +255 754 651 715.

Malazi Karibu na MS-TCDC

Na.Aina ya MalaziGharama kwa Usiku MmojaIdadi ya WatuMawasiliano
1Ndesamburo lodge (B&B)TZS 20,000 (Approx. $10)1+255 786 333 176
2Mwaradi lodge( B&B)TZS 20,000 (Approx. $10)1+255 687 603 184
3Paradise lodge(B&B)TZS 30,000 (Approx. $15)1+255 784 154 006
4Paradise lodge(B&B)TZS 50,000 (Approx. $25)2+255 784 154 006
5Mount Meru Game Lodge (B&B)$90 1+255 752 131 842
info@mtmerugamelodge.com
6.Mount Meru Game Lodge (B&B)$1452+255 752 131 842
info@mtmerugamelodge.com