Hoteli na Malazi

Kamati ya maandalizi ingependa kutoa taarifa kuwa kila mkongamanaji atawajibika kujihifadhia malazi kwa siku atakazoshiriki katika kongamano. Kamati inapendekeza hoteli zifuatazo:

Malazi ya Karibu Zaidi 

NA

HOTELI (B&B)

MAWASILIANO

UMBALI

NA KIBU

VYUMBA

GHARAMA

1

Tourist Hotel

+254725702275/+ 254725820939

KM 8

85

3,500

2

Denniz

+254703619909

KM 6

48

3,500

3

Drips

+254714234905

KM 6

20

2,500

4

Elegant

+254725677419

KM 6

43

3,000

5

Hunters Paradise – Tuuti

+254710720664

KM 0.5

16

15,000

6

Jadelica

+254712923719

KM 6

60

4,500

7

Siritamu Resort

+254757754886

KM 6

20

12,000

Kwa maelezo zaidi, wasiliana na Deborah +254701449745